MTOTO WA BOSS |
MTUNZI-MARCUS
SEHEMU -01
PAGE-SIMULIZI HURU MEDIATION
"Jane, Mimi na mama yako , tunaondoka.tunaenda shamba kuangalia vijana wanefikia wapi na mazingira yanaendaje , vipi , unaweza kukaa pekee yako hapa au tuongozane wote" mzee Charles alimuuliza mwanae , Jane.
" oooh! , baba , mim nishakuwa mkubwa Sasa, naweza kujichunga mwenyewe na pia siogopi chochote, mnaweza kwenda "Jane alijibu kwa kujiamini. alikuwa Ni mwanafunzi wa kidato cha Sita , ila sasa alikuwa nyumbani kwa ajili ya likizo . Jane alikuwa anahitaji kuwa mwenyewe nyumbani na pia kuwa huru , pia alitaka kutembelea marafiki zake ambao alimaliza nao kidato cha nne hata na wale wa mtaani, hivyo basi njia pekee aliona Ni kuwahimiza wazazi wake waende halafu yeye abaki nyumbani.
"sawa mwanangu, sisi tunaondoka, Kama Kuna msaada wowote utahitaji, dada wa kazi yupo hapo pia Kuna mlinzi getini pale , wapo tayari kukusaidia , baki salama" mama Jane alimpa maelezo ya kutosha mwanae ili asijione mpweke.Jane alimkumbatia mama yake Kisha baba yake. Mzee Charles waliingia ndani ya gari na kutoka nje, Jane alibaki kuwasindikiza kwa macho mpaka pale walipotokomea kabisa. Jane, alirudi ndani moja kwa moja hadi chumbani kwake. Wazazi wake walimuamini sana , hii yote kutokana na kufanya vizuri shule pia kutokuwa na Tabia mbaya, japo alikuwa nazo , lakini alijitahidi sana kuzificha
"sawa mwanangu , sisi ,tunaondoka , Kama utahitaji msaada wowote,dada wa kazi yupo , pia Kuna mlinzi getini pale wapo tayari kukusaidia" Jane aliyakumbuka maneno ya mama yake .
mlinzi ? mlinzi mwenyewe Nan? Prince, mama kweli hajui, Prince huyu Ni wa kunisaidia au kuniharibu, huyu si ndo anamla mfanyakazi wetu kila siku, au mama anataka na Mimi niliwe, hapana .
Jane aliwaza kimoyomoyo juu ya Prince. Anakumbuka siku ile alivyosikia miguno ya mahaba , kuchungulia dirishani aliwaona Prince na Esta ambaye Ni mfanyakazi wao, wakifanya mapenzi.
Prince nae alikuwa anammezea mate Jane kitambo sana.Prince alikuwa mtu wa totoz , mabinti wengi wa mtaani walimkoma , aliwapa shoo ya kufa mtu. Jane alitoka nje kuelekea katika bwawa la kuoga, alivaa bikini tu na juu alivaa sidiria , huku sehemu kubwa ya mwili wake ilibaki tupu, alijitupa kwenye maji pwaaah!.
Wakati Jane anafanya yote hayo , Prince alikuwa amekaa anamuangalia tu, kutoka mahali ambapo geti lipo kuelekea katika s
bwawa la kuogerea , hapakuwa mbali sana, hivyo aliona kila kitu .
Prince alipagawa,
"oooh! huyu mtoto kaumbika , tena sio kidogo, lazima nimle" Prince aliwaza. Alisahau Kama yule alikuwa mwanafanzi pia Ni mtoto wa bosi wake, hivyo alicheza na vitu viwili kwa wakati mmoja .
Kwanza kabisa, alicheza na serikali ,
pili alichezea kazi yake , kwani mzee Charles asingeweza kumvumilia mtu ambaye anacheza na binti yake.
"Kama ni kazi , nikose lakini siwezi kumuacha mtoto mkali Kama huyu , lazima nimle tena huyu nahisi atakuwa bikra huyu, " Prince alijisemea kimoyomoyo.Aliinuka taratibu kuelekea mahali alipo Jane.
Jane alikuwa anaoga,hakujua Kama Prince alikuwa akimuangalia jinsi ambavyo alikuwa anapiga mbizi.
Daah! sijui nianzaje hapa? , Prince alijiambia kimoyomoyo.
"Mambo, Jane" Prince alivunja ukimya
"poa, vipi" Jane alijibu huku akifuta maji usoni ili amuone vizuri Prince
"aaah! yani wewe Prince, yaan umekuja kunichungulia" Jane alisema kwa kuhamaki.
"aaah Jane , acha masihara bhana, yaani kweli kabisa hapo ndio unaona salama kwa mwili, wako, sikia Kama ulikuwa unataka kuoga ungeenda bafuni" Prince alisema kwa mzaha lakini Jane hakuona Kama Ni mzaha , alihamaki.
"weeee, koma , hapa kwetu usinipangie pa kuoga, nikiamua naweza kuja hata getini kwako pale na nikaoga" Maneno ya Jane hayakumpa shida Prince, kwani Prince hakuwa mgeni wa wanawake , aliwafahamu wanawake vizuri na Tabia Zao pia, hivyo haikumpa taabu Sana .
Yaan Wew ongea, ropoka, bwata , lakini Leo lazima nikukule , Prince alijisemea kimoyomoyo, aliona lips za Jane , alizitamani , alitamani azinyonye mpaka ziwe nnyekundu
Itaendelea..........
KWA SIMULIZI HII NA SIMULIZI NYINGINE KUTOKA , SIMULIZI HURU MEDIA, JIUNGE NA GROUP LETU LA KULIPIA (elf 2000 kwa wiki , simulizi sita mwanzo-mwisho)
@Xavery luonga (MATUNI)
@Marcus Marcus99 (MTOTO WABOSS, SIRI YA NDOA)
@Ibrahim Hussein (TALAKA KWA MKE MWEMA)
@Talhat Moudy (NASHINDWA KUKUSAHAU)
@Sam Darfur (NANI KANIAMBUKIZA)
0 Comments