MTOTO WA BOSS
SEHEMU -02
MTUNZI-MARCUSS
WhatsApp 0757272749
PAGE-SIMULIZIHURU MEDIATION
Endelea nayo.....
"Hapana , Jane , mim sijamaanisha hivyo, nilikuja kukupa Salam tu , maana tangu urudi atujaonana" Prince alijibu huku akionesha tabasamu la uongo na kweli.
"sawa , Mimi nipo fresh2" Jane alijibu huku akiokota taulo na kujifuta maji.
"naweza kukusaidia , lete nikufute huku nyuma" Prince alimwambia Jane, lakini Jane hakubisha alimkabidhi , Prince, Taulo na kuanza kufutwa.
Prince sasa aliona ndoto yake inaanza kukaribia, alikuwa anamfuta kwa mtindo wa kumpapasa kitu ambacho , kiliamsha hisia za Jane, taratibu, baada ya kuona hali inazidi kuwa mbaya kwa upande wake, ikabadi awe mkali kidogo , hili asije kudharilika mtu mzima.
"aà h inatosha bhana, kunifuta huko masaa," Jane Alifoka.
Kitendo Cha Jane kumgeuzia mgongo Prince, Prince, Hali yake ilizidi kuwa mbaya, aliyatazama makalio ya Jane kwani Jane alikuwa kavaa bikini tu, pia alitazama mgongo wa Jane , mate yalimtoka , suruali iliongezeka, ukubwa , ilituna.
"hapa tayari"Jane, alisema baada ya kumuona Prince anaendelea kufuta tu bila kuacha.
"Ok, Prince baadae , Mimi naenda kujisomea Sasa"
" kujisomea kila siku, kwahiyo walioweka likizo hawana akili, ila wewe ndio mwenye akili Sana, embu kaa tupige stori ,kidogo" Prince alimshawishi Jane , lakini hakushawishika hata kidogo.
"Baadae , Prince bhana , ntakuja pale getini kwako , sawa"Jane akijaribu kumbembeleza Prince , lakini Prince alikaa kimya.
"itikia basi na wewe, au hutaki nije" baada ya Jane kunena hayo , yalimfanya Prince akubali harakaharaka.
"Pouwa, usisahau kuja bhana, tupige stori"Prince alisema huku akiwa na lake rohoni.
Je ni stori tu, hizi hizi ambazo , Prince, alikuwa anazitaka UA Kuna zingine.
Jane, akiwa chumbani kwake ,aliwaza mengi, alikumbuka jinsi Prince alivyokuwa anampapasa wakati anamfuta maji, pia anakumbuka siku ile ambayo alichungulia dirishani alimuona , Esta, akiliwa na Prince , hisia zilimpanda.
"siku ile , Esta, alitoa Sana miguno ya raha, inaelkea Prince yupo vizuri , kwa kitanda" Jane alijiambia kimoyomoyo
kiukweli Jane alipenda Sana ngono kuliko chochote,lakini kitu pekee kinachomuuma Ni mpenzi wake kutokumfikisha kileleni, njia pekee ya kujifisha kileleni ilikuwa kwa kutumia mkono wake mwenyewe, lakini aliamini mkono una raha yake na mwanaume ana raha yake.
Prince aliwaza Kama Jane, akija basi lazima ampe shoo ya kufa mtu. Bukta yake ilituna sana mpaka mkongojo wake ukawa unapata maumivu.
Lakini aliwaza , je Kama Jane ,akikikataa je, itakuwaje? atamwambia baba yake au mama yake? yote aliwaza , Lakini akili ya Prince haikutulia na akaamua liwalo na liwe.
Majira ya saa moja jioni,Jane, alikuwa anajiandaa , alijipamba na alivaa vinguo vya mtego ili isiwe kazi ngumu kwa Prince , kumuelewa anataka nini.
"Dada...., dada..." ilikuwa sauti ya Esta. Esta alikuwa mkubwa kidogo kuzidi Jane, lakini alimwita dada Kama heshima tu na Kama mtoto wa bosi.
"enheee! pita" Jane, aliamuru Esta aingie.
"Mambo dada"
"poa , nambie"
"mbona unajipamba hivyo, unatoka au?"
"Yeah natoka, vipi kwani"
"hamna nilikuwa nauliza tu"
Jane alimuangalia Esta , lakin alishindwa amwambie Nini na akaamua kubaki kimya tu, kwani mda huo alikuwa anawaza ngono tu na kunyanduliwa na Prince.
"enhe nambie, naona umeingia halafu husemi, kilichokuleta, shida ni nini hapo,". Jane , aliuliza huku akimkazia macho Esta.
"hamna nilikuwa nakuangalia tu jinsi unavyojipamba kwanza, nilikuja kukuuliza vipi jioni chakula nipike kingi au kiasi na nipike chakula gani" Esta, alijibu huku akiangalia chini, alimuogopa Sana Jane.
"heee! yaan wewe ,mwanamke mzima hujui upike Nini, sikia pika chochote kinachopikika" Jane alijibu, halafu akawa anaendelea na kujipamba.
"Eeeh! mbona hivyo tena dada, kwanj nimekosea kukufata?" Esta aliuliza baada ya kumuona Jane anamjibu majibu ya hasira
" Mimi sijui, halafu toka niache , siunaona nipo navaa hapa? toka" Maneno ya Jane yalikuwa makali sana kwa Esta.
Jane alishaanza kujenga chuki kwa Esta na kuwa na wivu juu ya Prince japo hakuwa na mahusiano na , hajawahi kuwahi nae katika mahusiano.
Kitendo Cha Kumuona Esta, ila kitendo Cha Kumuona Esta , akifanya mapenzi na Prince , kilizaa chuki nzito. Esta ilibidi atoke tu.
"Sawa " aliitika Esta na kutoka nje.
Jane aliendelea kujipamba, alijipulizia pafyumu, alijiangalia kwenye kioo, mara sabasaba baada ya kuridhika , alifunga madroo yake ya vipodozi, Sasa alikuwa yupo tayari kwa ajili ya Prince.
"Huyu Prince Leo kazi anayo " Jane, alijisemea kimoyomoyo.baada ya kuridhika kujipamba, alifungua mlango na kuelekea getini alipo Prince
Prince ,nae alikuwa anamsubiri Jane kwa udi na uvumba , lakini hakuwa na uhakika sana maana Jane akili zake muda mwingine zilikuwa chenga.
"Huyu mtoto ,akija lazima apewe shoo nzito ila asipokuja itabidi tu nipige nyeto , nitulie" Prince, alijiambia kimoyomoyo.
Akiwa katika dimbwi zito la mawazo , alistuka baada ya mikono laini kutekenya mbavu zake, aligeuka ili ajue nani aliyemtekenya, oooh! Mungu Wangu, alikuwa Jane.
Itaendelea.......
..........
KWA SIMULIZI HII NA SIMULIZI NYINGINE KUTOKA , SIMULIZI HURU MEDIA, JIUNGE NA GROUP LETU LA KULIPIA (elf 2000 kwa wiki, simulizi sita mwanzo-mwisho)
@Xavery luonga (MATUNI)
@Marcus Marcus99 (MTOTO WABOSS, SIRI YA NDOA)
@Ibrahim Hussein (TALAKA KWA MKE MWEMA)
@Talhat Moudy (NASHINDWA KUKUSAHAU)
@Sam Darfur (NANI KANIAMBUKIZA)
0 Comments